GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 22, 2012

The Wedding of Arthur and Rehema ndani ya Mji kasoro bahari. Aka Morogoro. Na beep kidogo tu


Mazingira tulivu na mazuri ya Morogoro. Rehema akiwa anajianda. Matron akimuweka sawa Rehema

Kijana wangu akiwa anatafakari baada yakuvuta hewa safi ya Morogoro

Hatimaye akafufuka

Lusubilo akitafakari
Kanisa ambalo maharusi walifunga pingu za maisha
Arthur and Rehema. Safi sana hakika mlipendeza sana
Hakika bibi harusi alilitendea haki gauni lake la harusi

Nice


Rehema akiwa na Matron


Maharusi wakiwa na wasimamizi waoUpendo kwa wazazi


Wazazi. Safi sana hakika mlipendeza sana


Nice
Dah mahubiri ya huyu mchungaji  yalinifurahisha sana


Safi sana
Pingu
Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi.

KekiG and J walikuweko. Safi sana

Wanakamati


Burudani


MC wa shuhuli
Nikiripoti tokea Morogoro jamani mwisho wakunuku. Nawatakia maisha mema yenye furaha, amani na upendo Arthur and Rehema.