![]() |
Mr and Mrs Constantine Magavilla |
![]() |
Kweli mmependeza |
![]() |
Nawatakia maisha mema yenye furaha na upendo daima. |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Mrs C Magavilla |
![]() |
Dr Faraja Unatisha. Safi sana |
![]() |
Kama Obama |
![]() |
Hili Swagga nimelikubali |
![]() |
Mr Costantine Magavilla |
![]() |
Safi sana Dr Rose. |
![]() |
Best Man |
![]() |
Bwana Harusi akipondezwa na Dada na Kaka. |
![]() |
Kaka unatisha na maswagga yako |
![]() |
Dada J nawewe unatisha. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Dada Rehema nayeye alikuweko. Safi sana |
![]() |
Maharusi wakiingia kanisani |
![]() |
Kwaya ikitowa burudani kanisani. |
![]() |
Sikujuwa kama Jokate unajuwa kuimba namma hii. Nakupa tano |
![]() |
Dada J Akiimba kwa hisia kali kabisa |
![]() |
Katika picha nilizopiga hii iko kwenye kumi bora. Safi sana hii inaonyesha jinsigani mmnavyo pendana. Mwenye wivu ajinyonge. |
![]() |
Dada J akishusha neno |
![]() |
Costantine akimtandika pingu Dr Faraja Aka Wife |
![]() |
Dr Faraja nae akimtandika pingu Costantine |
![]() |
Duh dogo naye yuko fiti kwenye mambo ya Imani. Safi sana |
![]() |
Naona Bwana harusi akimwambia bibi harusi nanukuu maneno yake ' Nisije nikasikie eti imepotea hapo hatutaelewana. Siunaona ilivyo nzuri na ilivyokupendeza! |
![]() |
Best man na Matron wakifuatilia ibada kwa makini |
![]() |
Baba wa Bi Harusi ambaye ni Askofu wa Jimbo la Iringa pia ni Mwanzilishi wa Tumaini University Iringa. Akimpongeza mwanae. |
![]() |
Bwana Harusi akipata pongezi toka kwa Baba Yake |
![]() |
Namuona Ester na Victor wakifuatilia Misa kwa umakini kabisa. |
![]() |
Kama kawaida askofu aliimba wimbo kwa ajili ya maharusi huku akisindikizwa na kwaya. |
![]() |
Bwana harusi akisine mkataba wa kuishi pamoja huku Dr Faraja akiwa makini kabisa |
![]() |
Dr Faraja naye akasine mkataba |
![]() |
Hata Kanisani kulikuwa na burudani ya ngoma. |
![]() |
Msafara wa Harusi safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Namimi nikatowa swagga |
![]() |
Nikitowa swagga na Dr Rose |
![]() |
Maharusi wakiingia ukumbini |
![]() |
![]() |
Faraja akipongezwa na marafiki zake. Hapa namuona Rehema na lilian |
![]() |
Naye alikuweko. Safi sana. |
![]() |
Hata MD naye alikuweko. Safi sana |
![]() |
Keki ya harusi |
![]() |
Mr Walingo naye alikuweko |
![]() |
Safi sana. inapendeza nawewe ukiwakilisha. |
![]() |
Maharusi wakikata Keki |
![]() |
Pia tarehe 26 ilikuwa ni siku yakuzaliwa ya Bwana Harusi. |
![]() |
Kulikuwa na burudani mbalimbali. |
![]() |
Ruth na Ester |
![]() |
Tobias naye alikuweko |
![]() |
Bwana harusi akilisakata rumba na Papa G Kavishe. |
![]() |
K.Twisa naye alikuweko |
![]() |
Simchezo |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Simchezo |
![]() |
Taratibu bwana harusi. Alagi Alagi! inaweza leta kesi siku yakwanza! |
![]() |
Swagga. |
![]() |
Rehema, Gabriel na wife wake |
![]() |
Kamati ya Harusi |
Hongera sana Megavila na Mdegela
ReplyDeleteAzania boy
Manase.
JAMANI MMEPENDEZA.ONGERENI SANA
ReplyDelete