|
Hakika Freddy na Grace Walipendeza sana |
|
Nice |
|
Freddy akitoa maelekezo kidogo kwa Grace |
|
Nice |
|
Swagga la Dunia mduara! |
|
Hakika Grace alilitendea haki gauni lake la harusi. |
|
Swagga la baba Mwenye nyumba |
|
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron
|
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
|
Bestman na Matron wakiwa kifamilia zaidi. Nazani sijakosea??!! Usijekuta wako kikazi mimi nasema kifamilia ikawa shidaaa !!!!! |
|
Maharusi wakiwa na The Girls!!! |
|
Dah nimeikubali hi picha. Na mimi nimejikubali |
|
Swagaaaa |
|
Kama kawaida mambo ya keki yalikuwa chini ya Dada Monica. Safi sana |
|
Hakika Dada monica uliutendea haki ukumbi wa Goldern Jubilee |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
|
Upendo kwa kaka |
|
Ukumbi |
|
Hapa nimejikubali |
|
Nice |
|
Mc wa shuhuli. Namkubali sana. |
|
Maharusi wakikata keki |
|
Dada Catherine akifurahia jambo. |
|
Dah mheshimiwa unafanana na TID!!! au macho yangu |
|
Baadhi ya wanakamati. |
|
Jamani Mwisho wakunuku. Mambo ya wireless |
No comments:
Post a Comment