![]() |
JP akiwa na My Wife wake Angela Ngaillo |
![]() |
Safi sana Kwakweli mpependeza. GRM inawatakia maisha mema yenye furaha na upendo. |
![]() |
Nice |
![]() |
Safi sana Mrs JP au Angela |
![]() |
JP akitowa swagga |
![]() |
Safi baba |
![]() |
Mwenye wivu ajinyonge. |
![]() |
Safi Angela |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
![]() |
Matron |
![]() |
Maharusi wakitowa swagga na Miraji |
![]() |
Bestman |
![]() |
Simchezo Safi sana. |
![]() |
Nice |
![]() |
Nimewakubali Kweli mmependeza |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Gari lililobeba maharusi |
![]() |
Kanisa walilofungia pingu za maisha. Mbezi Beach Lutheran Church |
![]() |
Kanisani |
![]() |
Kweli watu walifurika kwawingi kanisani kushuhudia harusi hii |
![]() |
Maharusi wakila neno takatifu |
![]() |
JP akimtandika pingu Angela |
![]() |
Angela akimtandika pingu JP |
![]() |
JP akisign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe |
![]() |
Nakumbuka hapa JP alisita kidogo akaambwa ni mpaka kifo mkuu sign Baba! |
![]() |
Baada ya kusign JP alitaka aondoke na mkataba akatowe photocopy basi mchungaji akamwambia mbona tunakupa Mkataba orginal ulio sign na Hapo akatulia |
![]() |
Angela naye akasign mkataba wa kuishi pamoja |
![]() |
Maharusi wakitabasamu baada ya kusign mkataba wa kuishi pamoja |
![]() |
Matron akimpongeza bi Angela |
![]() |
Hapa JP akitowa swagga. Nakumbuka alikuwa anaahidi watoto watatu. |
![]() |
Baada ya kufunga pingu huu msalaba kwanyuma kama ulitowa mwanga! |
![]() |
Wanakamati wakiwa makini kufuatilia kama mambo yako super huko ukumbini. Mlimani City |
![]() |
JP akipongezwa na Mdau toka USA. Jama kapanda pipa kuja kwenye Harusi. Safi sana |
![]() |
Maharusi na wasimamizi wao nje ya kanisa |
![]() |
Katika Reception wageni mbalimbali walihuzuria. Hapa Ni Muheshimiwa Waziri mkuu mstaafu F.Sumaye akiwasili |
![]() |
Ma MC wa sherehe |
![]() |
Mheshimiwa Mbatia na mkewe wakiwasili ukumbini |
![]() |
Mheshimiwa Mrema naye alikuweko |
![]() |
Baada yakuingia ukumbini maharusi walifungua music. Kweli wapambaji waliutendea haki ukumbi. Safi sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Dah hapa baada maharusi kufika kwenye meza yao basi mambo yalikuwa kama unavyoona kwenye picha |
![]() |
Keki ya harusi |
![]() |
Dada akitowa burudani kwa maharusi na Wageni Waalikwa. |
![]() |
Riziwani akifungua Shampeni. Safi sana kweli umependeza pamoja na my wife wako. Kwenye kila meza kulikuwa na shampeni |
![]() |
Riziwani akifungua shampeni |
![]() |
Miraji akifungua shampeni |
![]() |
Bwana harusi JP akifungua shampeni |
![]() |
Mheshimiwa waziri naye alifungua shampeni |
![]() |
Hi shampeni ilifunguliwa na Bwana harusi. |
![]() |
Naye alikuweko |
![]() |
Wazee wa Akapela nao walikuweko. Hawa jama ni noma |
![]() |
DJ Boni alikuweko |
![]() |
Dance. Safi sana . |
![]() |
Naona dogo akikamua. Niipomuuliza unampenda mwanamuziki gani aliniambia Dogo Janja. Duh! |
![]() |
Kamati ya Maandalizi. |
jaman mlipendeza sana jp..mungu awabariki jaman sanaaaa
ReplyDeletebibi harusi mashallah!!!!duhh, i luv the dress..
ReplyDeletekuna picha ziko dark kidogo kama na mimi nilienda waling'aa..picha zimekuwa dark kidogo.all the best mamaa..mrs.jp
ReplyDeleteis that martins sis?esther?waooh,she has grown into a beautiful young lady..jp,kazi ipo..hahaha
ReplyDeletemungu awatangulie na awape wana na mafanikio tele wadogo zangu.you dont know how proud you have made me..mama elia must be very happy. I bet it was the best wedding ya mwaka.
ReplyDeleteWalipendeza sana but but, picha zilikuwa very dark ukilingalisha na rangi waliyotumia ungetumia background ya light but was great job though !
ReplyDelete