Hapa ni super model wangu Sasha. na yeye pia nilinyata nikafanikiwa kumpiga picha. Nakumbuka ilikuwa ni mida ya Saa nne na nusu (10:30 Pm). Kweli huyu ni mrembo. |
Swagga la kulala nimelikubali. Safi sana. |
Unajuwa katika mambo ya picha ukikaa muda mrefu huku unaangalia swagga za mamodel kuna muda utapata picha ambayo hauitgemei na kali sana ambayo sio ya kupanga |
Dah Ulaji huu wa kisharobaro si mchezo. Ila sijui kwanini wakati wakula watoto wanakuwaga na maswagga. Na huwa mpaka uwatishie ndio wale! wengine wakiona mzazi kaja ndio hali chakula tena! |
Kitu ambacho nimegundua wakati wakula unaweza ukapata picha nzuri za watoto. wanakuwa wapole. |
Super model Sasha ndio usipime. Nimegundua yeye na chakula ni paka na panya! |
Pole kula basi hata kidogo! Mpaka machozi. |
Baada ya kula wakawa tayari kwenda shule. |
Kama kawa nikaomba Swagga wakanipa Swagga. Safi sana na hayo ni masaa 24 na super model wetu Simon and Sasha. Nafikiria kuanzisha huduma ya 24 Hrs family moments. |
You have gud kids! God bles u!
ReplyDeleteWatoto wazuri kinoma.. Halafu hizo picha za kulala nzuri kweli kweli, inaonekana wanachoka vibaya sana! kucheza si kazi ndogo. God bless them!
ReplyDeleteJamani watoto wapole wazuri kweli,ni wa kwako????
ReplyDelete