![]() |
Hapa ndipo Baba wa Taifa alipozikwa. |
![]() |
Kaburi la Baba wa Taifa. |
![]() |
Tulipata nafasi yakutowa heshima. |
![]() |
Nashukuru sana kupata nafasi hi ya kutowa heshima. Kwakweli najiona sasa ni mzalendo na Mtanzania Halisi |
![]() |
Hapa ndipo walipozikwa wazazi wa Baba wataifa mwalimu JK Nyerere |
![]() |
Mazingira mazuri nyumbani. Kweli ukiwa hapa unapata hisia kuwa mwalimu bado yuko |
![]() |
Hili ndilo gari lamwisho Baba wa Taifa alilipanda -VX |
![]() |
Hi sanamu mwalimu alipewa alipokwenda Ujerumani kama sijakosea |
![]() |
Nikiwa na wadau |
![]() |
Mwalimu alipenda mazingira sana |
![]() |
Hi Nyumba ndiyo ile Baba Wa Taifa alijengewa na Jeshi letu. Aliishi ndani ya hi nyumba kwa siku 15 ndipo akaenda Uingereza kwa matibabu. |
![]() |
Hapa ndipo mwenge wa uhuru unawashwa na kuzimwa. |
![]() |
Nikishuhudia sehemu ambapo mwenge unapowekwa . Nakumbuka wakati nasoma shule ya msingi tulikuwa tunakimbiza mwenge |
![]() |
Nyumba ya mwalimu iko juu ya mlima |
![]() |
Baada ya kustafu Mwalimu alikuwa anajishuhulisha na kilimo. na hapa ndipo alipokuwa anahifadhi mazao yake anayo vuna kama Mtama NK |
![]() |
Sehemu yakuhifadhia mazao |
![]() |
Nyumba ya Baba yake Mwalimu. Safi sana imetunzwa mpaka leo |
![]() |
Nikitowa swagga |
![]() |
Mazingira tulivu na mazuri. |
![]() |
Hi nyumba ndiyo ile mwalimu alijengewa na Chama cha TANU |
![]() |
Mwalimu alihamia Digital toka 70s. Na hichi kingamuzi ndicho kilikuwa kina mpa habari toka sehemu mbalimbali duniani na yeye huwa alikuwa anasema kaoteshwa. Kumbe alikuwa anapata news hapa. Safi sana |
![]() |
Nikaona namimi nitowe swagga labda nitaoteshwa |
![]() |
Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anapunga upepo. Basi ulikuwa ukisikia mtu kaitwa butiama kwa mwalimu ujuwe ndipo hapa alikuwa anabananishwa. |
![]() |
Hapa ndipo mwalimu alipokuwa anaka kwenye kona |
![]() |
Wadau wakijaribu maswagga mbalimbali jinsi mwalimu alivyokuwa anaka |
![]() |
Mwalimu alikuwa mtu wa dini |
![]() |
Safarini Tarime. Mura nitakugesha. Basi mdau alinipa angalizo akasema nikiwa Tarime nikisikia Mura nakugesha basi nitimue mbio maana kinachofuata ni panga. Na panga likitoka halirudi |
No comments:
Post a Comment