jaman sisi wadau wengine tunapiga simu unaambiwa viatu vipo uje ukifika shelf tupu ndio nini sasa????????? nilifunga safari kutoka mwanza nilienda dar kikazi nikaona bora niwasiliane nao kwanza kufika hakuna viatu kabisa.
Wadau hapo juu vitu vipo , nimefungua Mzigo mpya hauna hata wiki mbili kuna viatu vingi sana , mpaka vingine tumeweka chini , 1/04/2011 Mali mpya iliingia dukani. Viatu vya harusi vimejaaa kibao , na kama mtu anataka anatoa oda in advance na analetewa anachotaka . Mdau mwenye harusi june tuwasiliane na sasa tunatuma viatu hadi mkoani mshindwe nyie tu. Karibuni Viatuzi
Picha za kufa mtu I must say . I just love them all.
ReplyDeletejaman sisi wadau wengine tunapiga simu unaambiwa viatu vipo uje ukifika shelf tupu ndio nini sasa????????? nilifunga safari kutoka mwanza nilienda dar kikazi nikaona bora niwasiliane nao kwanza kufika hakuna viatu kabisa.
ReplyDeletekweli naungana na mdau hapo juu mimi mwenyewe nilipiga simu wakasema vipo kufika hakuna, waseme ukweli au vipi
ReplyDeletekweli hata mimi kuna rafikir yangu alitoka moshi nae tena ana harusi yake june,kaenda nae walimwambia vipo kufika hakuna ok
ReplyDeleteWadau hapo juu vitu vipo , nimefungua Mzigo mpya hauna hata wiki mbili kuna viatu vingi sana , mpaka vingine tumeweka chini , 1/04/2011 Mali mpya iliingia dukani. Viatu vya harusi vimejaaa kibao , na kama mtu anataka anatoa oda in advance na analetewa anachotaka . Mdau mwenye harusi june tuwasiliane na sasa tunatuma viatu hadi mkoani mshindwe nyie tu. Karibuni Viatuzi
ReplyDelete