Hakuna atakayebisha kuwa Hellen Alilitendea haki hili gauni lake. Safi sana. kweli huyu dada alijipanga sana. Napenda kumpongeza Hellen na Mr wake kwa sababu walijuwa umuhimu wa kumbukumbu katika siku yao muhimu(K Party and Harusi). Tulipiga picha kabla ya kwenda kanisani. Safi sana hi inaonyesha jinsi watu wanavyobadilika na kujuwa kitugani wanakitaka. Mfano unakuta ndoa inafungwa saa 4pm alafu kanisani watu wanatoka 6pm alafu mtu anataka picha za gardern. hapo hauwezi kupata kumbukumbu nzuri. Na ukimshauri mtu tupige picha kabla ya kwenda kanisani ;anaona kuwa nikitu ambacho akiwezekani. Eti utamuonaje mchumba kabla ya kufunga ndoa. Mbona wakati wa sendoff walipiga picha??? Kwa kweli kama ukitaka kupiga picha kabla ya kufunga ndoa inabidi uamuwe wewe mwenyewe. Ukiwashirikisha wazazi tuu hapo lazima mambo ya mila yatanza. Huu Ni ushauri tu kwa wale ambao unakuta ndoa inafungwa 4pm. Mhh ngoja nisionge mengi. ila narudia tena napenda kuwapongeza Hellen na Mr. Kwa Kujipanga. Bado kazi iko jikoni. Ngoja niwaonjeshe picha moja ya harusi |
Hongera sana. Umependeza balaaa
ReplyDeleteMungu awabariki sana!
DeleteHongera sana Hellen, ulinoga, Mungu awe nanyi siku zote
ReplyDeleteVery nyc,may God bless ur new family
ReplyDeletevery very beautiful,,,,be blessed
ReplyDeleteUMEPENDEZA SANA HELLEN. HAPPY LIFE DEAR
ReplyDelete