GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 8, 2013

The Launching of the 4th Tanzania Deep offshore and North Lake Tanganyika Licensing Round

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho kikwete alikuwa mgeni Rasmi. Kwakweli kama ulibahatika kumsikiliza utakubaliana nami  kuwa swala la gasi linakwenda vizuri kabisa na hakuna sababu ya Watanzania  kuwa na wasiwasi.

JK akisisitiza kuwa tusiwe na wasiwasi kuhusu swala la Gasi.

Hu uzinduzi uliandaliwa na TPDC. Safi sana

JK akiongea kwa furaha.


JK akisisitiza jambo




































Ukumbi wa Mwalimu J. Nyerere International conference Center


Dah Nimeukubali hu ukumbi

Nice


Kwa habari zaidi zama hapa kwenye read more more






Picha ya Pamoja. Nimejikubali hapa. 


Jk akitowa maelekezo. Safi sana jamani Mheshimiwa Rais wetu yuko makini na gesi.

JK akipata maelekezo kuhusu Vitalu vya gasi.


Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa umakini.


Hizi ni swagga zangu tu.

Dah hebu fikiria ingekuwa wewe ndio unatowa presentation  hapa. waheshimiwa wote hawa wanakusikiliza! 


JK kipata maelekezo kuhusu technology inayotumika kwenye mambo ya utafutaji wa Gasi

Waheshimiwa wakiwasili

Nimeipenda hi picha
Kama kawa vijana walikuwa makini kabisa kunuku hu uzinduzi


Dah hapa tulikuwa tunamsubiri Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho kikwete

Wadau wa Mambo ya Gasi wakiwa wamesha kaa ukumbini wakimsubiri mgeni rasmi.



Nice
Usajili. 













Wawekezaji



Nimekubali baba.



Swagga.


Safi




Kamanda. Dah siku hi niliamka 4:00 am Dah 






















Burudani




















































































Picha ya Pamoja













Samahani Wadau wa GRM Production kwa Kuto update blog yetu kwa muda wa siku kama 4. Nilikuwa nalitumikia Taifa wadau. Sasa nimerudi full.

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kiwete akiondoka ukumbini.

Jamani Mwisho wa kunuku

No comments:

Post a Comment