Vijana wakiwa kazini kutengeneza tangazo la kisura |
Hapa namuona Editor/Director Ford akitowa maelekezo |
Director Nago akiwa anatafakari |
Kisura akiwa kwenye runway katika studio ya GRM |
Kama mnavyojuwa hakuna tangazo litarekodiwa bila watu kufanyiwa makeup kidogo |
Hi ni Track mpya niliyo nunua au Reli kwa ajili ya kufanyia kazi. |
Hizi taa hazili umeme kabisa na wala hazileti joto |
Noeli akirekebisha taa. Hi ni UV-light. nayo haina joto |
Wazee naona mambo sasa yanachanganya vifaa vipya sio mchezo natarajia utafanya vizuri watching you!!!!!
ReplyDeleteThanks Mkuu karibu! @opulukwa
ReplyDeletekaka umesimama naona mitambo ya kutosha
ReplyDeleteHongereni sana wazeiya... Tunahitaji sasa kuona mabadiliko
ReplyDelete