Nice hakika Neema ulipendeza sana |
Safi |
Neema akiwa na Matron wake. Safi sana |
Neema akiwa na Mume wake mtarajiwa. Ila kwa sasa wameshafunga pingu. Hongereni sana. |
Safi sana Swagga la baba mwenye nyumba |
Nice. Upendo kwa mama. Hakika mnafanana. |
Matron. Safi sana |
In Love |
Upendo kwa wazazi |
Nice. Hongera sana Mheshimiwa kwa kukuza binti. |
Upendo kwa baba. |
Girls |
Safi sana hakika mlipendeza sana |
Morani wakipandisha Mori! |
Mori ukipanda |
Waheshimiwa walikuweko. safi sana |
Mwenye kiti wakamati akiwakaribisha wageni waalikwa |
Mtoto wa Mkulima Akitabasamu kwa furaha. Safi sana |
Jamani mwisho wakunuku. chakula bado kiko jikoni |
No comments:
Post a Comment