Nikiruka huku nikiwa nimekaa |
Mawasiliano muhimu. Dah mwarabu noma ukipigiwa simu unachajiwa! |
Swagga |
Maandalizi |
Hapa pazuri |
Kaka kawa nikiwa ndani ya Jezi |
Nikiwa kitaa |
Nikiwa na Mwalimu wangu. |
Dah nililikubali hili begi. Hapohapo ni stand ya kuwekea kamera. Jama aliniambia nikilinunuwa niakuwa mwafrika wa kwanza kununuwa kwasababu halina hata mwezi tangu hii design itoke |
Kwakweli sikuliacha. Ila maumivu niliyapata |
Kifaa |
Vijana wakiangalia Kifaa |
Vijana wakipiga simu kuomba maelekezo. ila jamani sikuna muongozo. Sijui kwanini huwa hatupendi kusoma. tunapenda kutumia uzoefu. Hapa walirudi kusoma ndio wakaelewa |
Mzee criss akitafakari |
Nikasema ngoja ni test kifaa kimoja |
Katika maandalizi pia akili lazima ipumzike kidogo basi nikasema hebu nifanye safari ya Jangwani |
Dah huko jangwani unakwenda kwa kilimo kwanza na ma 4X4 za ukweli |
Dah badala ya kupumzisha akili nikaanza kuwaza inawezekanaje dah bongo tunashindwa kutumia mbuga zetu vizuri. wenzetu jangwa wanalitumia vizuri. je wangekuwa na mbuga za wanyama |
Dah tumuache mwarabu abaki kuwa mwarabu |
mambo ya safari za jangwani |
Matumizi mdadala wa kilimo kwanza. huku kwetu ni za Waheshimiwa |
Mdau akirudisha chenchi. Simchezo kweli kama hauko fiti huwa roho inaweza chomoka |
Haya ndio matumizi mdadala |
Maswagga ya jangwani |
Dah mwisho wa kunuku. Ngoja nikapande treni yetu iliyo zinduliwa jana. Hope hakuna kukabana. Sijui inatumia muda gani kufika mjini |
No comments:
Post a Comment