![]() |
R.I.P Dr Kephas Kansolele Ntavi. |
![]() |
Mwili wa mpendwa wetu ukiwasili nyumbani kwake hapo jana -Sunday |
![]() |
Mzee wa Tupogo akiimba wimbo maalumu |
![]() |
Mke wa Kephas Dada Dorothy-Dorca catering akilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza lililokuwa na Mwili wa mumeo |
![]() |
Mtoto wa marehemu akilia kwa uchungu. Dah msiba usikie kwa jirani tuu! |
![]() |
Samahani wadau kama nitakuwa nimewaharibia siku yenu ya jumatatu. |
![]() |
Nakumbuka kuna saa mzee alishindwa kupiga kwa sababu Dr Kephas alikuwa anamsaport sana |
![]() |
Pole sana Dada Dorothy. Tuko pamoja |
No comments:
Post a Comment