![]() |
Hakika Mecklaud and Scholastika walipendeza sana |
![]() |
Nice |
![]() |
That Moment ....... |
![]() |
Hapa nampa tano Mecklaud. Hili swagga niwachache wanaliweza. Kama umeva suti ya kichina hauwezi toa hili swagga! Maana utasikia paraaaaa suruali na koti vimechanika. hapo ndipo utalijua jiji! |
![]() |
Safi. Sasa tusubiri kama kuna mtu atalipa hili swagga, na akilipa nitalileta hapa |
![]() |
Duuu safi. Hawa ni Morani aise! |
![]() |
Nice |
![]() |
Scholastica alilitendea haji gauni lake. Safi sana |
![]() |
Swagga la baba mwenye nyumba. Itabidi utupe data hi suti umeinunua wapi . Safi sana |
![]() |
The Girls |
![]() |
Nice |
![]() |
Mwisho wakunuku. Nawatakia weekend njema wadau wa GRM production |
No comments:
Post a Comment