GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, December 5, 2018

SGR-Dar es salaam -Morogoro Line as Nov 2018. Onja kidogo


Dah Nianze kwa Kusema Shikamoo Baba ya Baba. Dah  nimeshuhudia hii SGR kwakweli hata nikitangulia mbele za haki nimeona moja ya historia kubwa katika nchi yetu. Hii Project ni kubwa na inakuja kuleta mabadiliko mkubwa sana. Hongera sana Mh Rais kwa hii project.

Dah najua hii sio kama lile daraja lakigamboni ambalo tuliruhusiwa kupiga picha. Soo nimeona nitoe kiu changu mapema kabla matreni hayajaanza kupita maana sitokuja pata fursa kama hii tena. Maana speed hii ya treni ni zaidi ya 200 per Hr . Soo wale maharusi kwenye hii SGR ya Baba la Baba hakuna mambo ya picha @@@@

Dah sijawahi ona Mkandarasi anayefanya kazi kwa usafi kama hawa Waturuki aka Yapi Merkezi





Hizi picha nazani wajuku zangu watakuwa wanashangaa sana Babu uliwezaje piga picha hapo sahizo nimesha RIP @@@

Ndio wanamalizia malizia mwakani tarehe kama ya leo Dec 2019 project itakuwa imekamilika. hope Baba la Baba utanikumbuka kama wale abiria wa mwanzo kabisa wa kutest SGR. Dar-Morogoro 1:30 hrs.
Yani unakwenda piga ile mishikaki ya morogoro jumamosi pale sokoni na kurudi. Jamaa aliye order kitimoto Dar unamkuta bado hajala. Wewe umeshakwenda moro na kurudi@@
Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more




Yani ukiwa safarini utakuwa unaona mazingira  haya.  Haya majani yana wiki 3 tuu toka yapandwe. Sasa baada ya mwaka itakuwaje. nishaona tenda hapa yakukata na ku maintain garden pembeni ya SGR line





Mkongo wa Taifa- Mambo ya Internet
Hapa ni Dsm hii SGR itakuwa inapita juu kama KM 20 hivi kuanzia mjini kutoka nje ya jiji. Soo kutakuwa hakuna mambo ya foleni
Simchezo. 


Kwa Mapicha zaidi zama hapa kwenye read more
Eng Vero -ERB, Eng Barozi ERB na Msimamizi wa Mradi toka TRL  wakiwa na Mkandarasi wa SGR


Ujenzi imara
Team kutoka ERB wakitembelea Mradi wa SGR-Dar-Morogoro line



ERB iliwapeleka ma Eng wakike kutembelea Mradi wa SGR iliwapate mafunzo kwa vitendo



Mambo ya site









Hii Inatengenezwa hapa hapa Tanzania











vituo vya Treni



Camp ya Mkandarasi Yapi Merkezi


Mkandarasi akituelezea progress ya Mradi 

Picha ya Pamoja












Kiwanda cha kutengenezea haya Mataruma-Sijui kama ndio jina lake auu@@




Mwisho wa kunuku. Ziara nyingine itakuwa Mwakani!

No comments:

Post a Comment