GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, July 28, 2014

Vifaa vipya vya kazi. Part 2. Baada ya mambo ya Wireless sasa ni mambo ya chini ya maji- Underwater photography

Mzigo mpya umetua ili kuleta mapinduzi zaidi kwenye  mambo ya picha-Photography



Dah nilikuwa naitamanigi hi Tripod kwa muda mrefu 

Nikiikubali stand yangu ya bling bling. Designer stand



 Natumaini sasa nitakuwa nimeitendea haki  Nikon D4 kwa upande wa video

Katika kazi mawasiliano ni muhimu sana. Kwahiyo sasa hakuna haja ya kupiga kelele. tunawasiliana kimya kimya- Over -Nakupata-over.........Waheshimiwa ndio wanaingia Over... Nimewaona over nawasha camera over........ Umeshapiga picha Wakwe Over... 


Jamani kwa watu wasio jua. Baada ya kuachana na mambo ya Tape -Min DV tuliamia kwenye Card, SD,CF etc, sasa kwa taarifa tuu hizi card huwa zina expire. Watu wa production lazima tujue lasivyo utashanga unarekord kazi then ukitaka kuitoa kwenye card unakuta hakuna kitu. At least kila mwaka inabidi ubadilishe card.

Hizi card nimezikubali dana

Underwater photo-video light

Sasa nikasema ngoja ni test vifaa kwa super model wetu Simon Makupa. Kama kawaida malipo yake nilimpeleka movie-na kumpiga chips mayai na kuku basi akakubali kufanya kazi

Maswagga ya chini ya maji

Swagga la CCM oyeee chini ya maji.

Duu sasa hapo uki smile tuu unakunywa maji. Kwaweli  hi Idd lazima nije na maswagga kibao ya chini ya maji

Safi sana. Ukitaka maswagga ya chini ya maji tuwasiliane. Alafu wadau kwanzia next month utaweza kuja ndani ya GRM studio na kupiga picha ila tunapanga appointment. 

Jamani mwisho wakunuku. Kwa niaba ya GRM Production nawatakia Sikuku njemaaaaaa

No comments:

Post a Comment