![]() |
| Hakika Charity alilitokelezea. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Hakika Charity alilitendea haki gauni lake la harusi. |
![]() |
| Kama Kawaida Dada Maznat alimtendea haki Charity kwenye mambo ya makeup. |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Charity akiwa na Matron wake |
![]() |
| Hakika Hugodomingo waliutendea haki ukumbi wa mlimani city |
![]() |
| Hapa na Mimi nimejikubali |
![]() |
| Dah nimeikubali hi keki |
![]() |
| Kama Kawaida mambo ya Table setup na Chakula yalikuwa chini ya Dada Dorka. Safi sana itifaki imezingatiwa! |
![]() |
| Shikamooo dada Dorkas |
Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read more
![]() |
| Maswagga yote ndani ya Maznat Bridal care |
![]() |
| Matron |
![]() |
| Mwisho wakunuku |

































No comments:
Post a Comment