![]() |
Kiongozi wa FM Academia alitembelea control center yetu. |
![]() |
Kikosi kamili cha FM kikikamua |
![]() |
Samaki anavipande vingapi???Vitatu, Hebu vitaje' Kichwa Tumbo na 'Mkia'.... |
![]() |
Nyoosha mikono mbele tuendeshe pikipiki |
![]() |
Wafanyakazi wa Airtel hawakuwa nyuma waliwaonyesha FM Academia jinsi ngwasuma inachezwa. |
![]() |
Tingisha mkiaa |
![]() |
Simchezo |
![]() |
Yani katika sherehe hii FM Academia walileta kikosi kamili. |
![]() |
Mnatisha |
![]() |
Kichwa, tumbo na mkia ehh tingisha mkia! |
![]() |
Pikipiki |
![]() |
Vijana wakiwa makini kazini |
![]() |
Kweli FM Wanatisha |
![]() |
Kweli sherehe ilifana sana |
![]() |
Nyoshi nae akifanya vitu vyake |
![]() |
Airtel |
![]() |
Mh no Comment! |
![]() |
Simchezo |
![]() |
Nyoshi akiimba wimbo mpya wa Airtel |
No comments:
Post a Comment