Juliana akitoa maelekezo ya awali. Nahisi alikuwa anauliza hao visura wakowapi! |
Dada Juliana akifanya mahojiano mafupi ya kufungua kipindi na kuzindua kazi ya kusaka warembo katika jiji la mwanza |
Hapa ndipo mchujo ulipofanyika |
Visura wakisubiri usaili |
Hapa wakifanyiwa usahili. Na haya mashindano huwezi kuchakachuwa. Manake kama wewe haufiki SM 174 urefu na mapaja yakizidizi 92 Sm basi hauwezi kuwa kisura |
Kijana wangu Hamidu akichukuwa matukio ya usaili kwa umakini |
Hawa ndio majaji |
Kisura akifanyiwa usaili |
Kisura akionyesha swagga lake |
Hapa kisura akifundishwa namna yakutowa swagga |
Kisura akatowa swagga lipya. Hata Flavian Matata katokea kwenyekisura. |
Kisura akitowa swagga |
Jaji wetu ambaye ni mshindi wa mwakajana akitowa swagga. Jamani haya mawe yanayo onekana kwa nyuma ni nyara za serikali. Yako kwenye noti ya tsh 1000 pembeni ya picha ya Baba wa taifa. |
Ilibidi turekodi baadhi ya clip zakipindi hapa. |
Visura wakipozi na jaji juu ya mawe! |
Kivuko |
Kwakweli haya mawe yanavutia sana. ukiambiwa historia yake utasema kweli mbona hayatangazwi. Kuna mzee mmoja jina silikumbuki akikuwa anakatiza katikati ya haya mawe. Akifika Mawe yanasogea! |
Kazi Ikiendelea |
Film Director wangu Nago akiwa kazini. Hivi director ukianguka toka huko juu utapona! |
Burudani mbalimbali. Nahisi hi ni bongo FLV |
Kama mnavyojuwa mmoja wa sponser wa kisura ni HFI na hawa wanaelimisha juu ya HIV. Hapa ilikuwa nisemina fupi kuhusu HIV |
Kweli director nakisubiri kipindi kwahamu nije nione hizi shot. unatisha |
Presenter akifunga kipindi |
Kamera yetu ilinasa watu wakichapana kavukavu. |
Kisura akitowa Swagga |
Hey Mtaam,
ReplyDeleteNimeangalia kwa makini picha zako ya OUTDOOR na sometimes za Indoor Picture light looks "SO Flat". Hii ina maana either hutumii au unatumia ( 5300 - 5600k ) lights, scrims/Diffusers kukupa crystal clear kwa kukupa a good results. Halafu vijana wako inaoneka ninapoangalia kwenye video clip amabazo umeshoot mwanza inaonekan hawatumii CAMERA RIG which give you a better stead video shoot. Kwa ushauri wangu naomba mtumie Indisytem Dolly ambazo nin uhakika kwa income yako unaweza kuaaford kununua. Indisytem dolly unaiweka kwenye CAMERA TRIPOD and its movevable very easily than Dolly ur using righjt now as seen on here. Na pia hizo photo ulizopiga za hao mamodel jaribu kupiga the CLOSE - UP shoot hii inasaidia watazamaji kuona more details za picha zako. Kwa picha hizo sipati details kwavile is mediam shoo shoot, or either its s" so flat b'se of lighting setting yako.
Count dis CRITICS as a 'CONSTRUCTIVE IDEAS' dont quate me wrong. Kama kuna vitu naona haviendi vizuri nitasema na vile vile najua kuna video equipments naona unahitaji kuvinunua ambavyo vitasaidia kudistuquish from your competitor usisite kuniuliza i got many resources i can show u ll be happy to get those thanks. ajeremiah71@yahoo.co.uk