Al-noor na Shirley au My wife wake |
Unajuwa ukikuta maharusi wamependeza namna hii mpiga picha unakuwa huna kazi wewe ni kuphotoa tuu |
Hapa wakiwa na wasimamizi wao |
Wakipozi kwa mara yakwanza kama mume na mke |
Safi sana no comment |
Baada ya kufunga ndoa walikwenda kujianda na sherehe na hapa walibadili pamba |
Alnoor nawe una swagaa |
Duh simchezo |
Best Man |
Matron |
Bi harusi akiwa nawapambe wake |
Inabidi nikutafutie dili ya tangazo |
dah |
Safi sana |
Kwanini hamshiriki mashindano yaurembo? |
Sina cha kusema |
Dah |
Duh |
Wanakamati wakiwa nje kabla ya sherehe kuanza |
Maharusi wakikata utepe kuashiria sherehe imeanza na pia ni mwanzo mpya wa maisha yao |
Hili gauni la bibi harusi lilinivutia sana |
Namuona kaka Deo akijianda kufungua shampeni |
Yani hapa palivyopendeza utazani Mbinguni |
Lazima tudumishe mila hapa kama inavyoonekana keki ya kimila a k.a Ndafu |
Hi keki si mchezo |
Wakati wa kupata chakula |
Naomba hi siku isiwe mara ya mwisho kulishana chakula! |
Dada Cleo nakuona! |
Sikufanikiwa kupata jina la huyu mzee ila mavazi yake yalinivutia sana pamoja na pozi. Nahisi anaundugu na mfalme fulani hivi. |
Bi Harusi akitoa salamu. Nakumbuka hapa alitoa sababu kwanini kakubali kuolewa na Alnoor. Safi sana na inapendeza kuwa na mke anaye jiamini namna hii. |
Kaka Kibonde ndio alikuwa MC wa shuhuli. |
Jinsi walivyo valishana pete |
Mambo yalivyokuwa Elenik hall |
Lady JD naye alitoa burudani ya kufa mtuu. Hongera sana dada. |
Hongereni maharusi! Nawatakia maisha mema ya ndoa. Harusi ilikuwa nzuri sana sana na nyie wenyewe wazuriiii. GRM kazi nzuri nimeshakuwa teja wa blog yenu siku hizi maana ina mambo poa.
ReplyDeleteyaani mie ndo nishakuwa crazy na hii blog kila ck lazima niingie humu,natamani ningewajua tangia zamani,lakini nikija dar nitawafuta angalau mnifotoe picha moja tu hahahaa!!!Good job GRM..keep it up.
ReplyDeleteAksanteni na karibuni katika ulimwengu wa GRM Production.
ReplyDeletemlipendeza sana nilikuwepo that day mnapendeza sana shirley ni m sichana anaejiamini sana
ReplyDelete