![]() |
Akili and Nellana safi sana hakika walipendeza sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Hakika Nellana alilitendea haki gauni lake la harusi |
![]() |
Nice |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa
![]() |
Lambart enzi za uhai wake. Nakumbuka mwaka huu tu tulifanya harusi yake 12-01-2013 . Sisi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi. |
![]() |
Dah sina chakusema zaidi ya kuiombea familia yake . |
![]() |
Habari nilizozipata ni kwamba Lambart alifariki jumamosi kwa ajali ya gari |
![]() |
Pole sana Bridgite kwa kumpoteza Mume |
![]() |
![]() |
Lambart na Bridgite siku ya harusi yao 12-01-2013 |
![]() |
Muda si Mrefu nitawaletea maswagga ya washiriki wa Miss Dar city center 2013. Jana tulifanya Photoshoot |
![]() |
Washiriki wakitowa swagga na mtaalamu wa mambo ya urembo na vipodozi Rehema. Dada Rehema ndiye aliyewapamba warembo |
![]() |
Kijana wangu akiwa kazini |
![]() |
Nikiwa kazini |
![]() |
Chakula bado kiko jikoni nitakileta soon. Miss Dar City Center itafanyika tarehe 1-6-2013 |