![]() |
Muda si Mrefu nitawaletea maswagga ya washiriki wa Miss Dar city center 2013. Jana tulifanya Photoshoot |
![]() |
Washiriki wakitowa swagga na mtaalamu wa mambo ya urembo na vipodozi Rehema. Dada Rehema ndiye aliyewapamba warembo |
![]() |
Kijana wangu akiwa kazini |
![]() |
Nikiwa kazini |
![]() |
Chakula bado kiko jikoni nitakileta soon. Miss Dar City Center itafanyika tarehe 1-6-2013 |
No comments:
Post a Comment