![]() |
Jacqueline na Michael hakika walitokelezea sana |
![]() |
Nice |
![]() |
Safi |
![]() |
Jacqueline alipambwa na Dada Maznat. Safi sana |
![]() |
Nimelikubali gauni la bibi Harusi. Safi sana |
![]() |
Swagga ndani ya Maznat B-C |
![]() |
Safi |
![]() |
Kanisa walipofungia pingu |
![]() |
Jacqueline akiwasili kanisani |
![]() |
Michael akiwa anamsubiri mke wake mtarajiwa nje yakanisa. Hapa huwa kiroho kinakuwaga kinadunda! |
![]() |
Pingu |
![]() |
Michael akisine mkataba wakuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe huku Jacqueline akifuatilia kwa umakini kabisa! |
![]() |
Upendo kwa Dada |
![]() |
Dada Zake Jacqueline. Safi sana Fiona na Nelly |
![]() |
Upendo kwa Mama's |
![]() |
Upendo kwa kaka |
![]() |
The First Kiss and Dance. Safi |
![]() |
Mdogo wake Jacqueline akitowa salamu. Safi sana mzee wa Chagga Bite. Dah yani nimeona picha yako nimekumbuka Mtura na Maini ya mbuzi pale Moshi. |
![]() |
Jamani Mwisho wakunuku. Chakula Bado kiko jikoni. |
No comments:
Post a Comment