GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 2, 2012

Happy New Year jamani. 2012 ndio imeanza na tunakuja na mambo mapya ,vifaa vipya Ari mpya na ofisi mpya kaa mkao wakula

Happy New Year. Jamani ndio tunamalizia likizo tarehe 7 Jan Tunarudi full mzigoni

Super Model wetu Simon aka Meku naye katuma salamu za X-mass na New Year akiwa pande za moshi. Naona kashakuwa Meku anapenda kisusio


Kama kawa  wakati wa sikuku ndafu lazima iweko

Wataalamu wa nyama choma. Hapa namuona Dr S.Makupa akiwa makini kabisa

Nilimnasa super model wetu Sasha akisimamia kucha maji. Kweli maji yakijijini yanavyotoka kwenye bomba ni yabaridi utazani yako kwenye friji

Wewe

Hatimaye Sasha naye akatuma salamu za Xmass na mwaka Mpya.


Happy New Year!


Mtaalamu wetu wa urembo naye akatuma salamu za Xmass na New Year.

MaswaggaNaye Bibi E Makupa naye akatuma salamu za Xmass na New year


Swagga la Bi E Makupa

Kama Kawa na Ngombe alitendewa haki