GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 19, 2012

Baada ya kumaliza mkutano mkuu wa kupanga mikakati ya 2012 Baba Nido alitinga ofisini kwetu na hivi ndivyo mambo yalivyojiri

Swagga la kinido. Safi sana. Kweli napenda kumshukuru Mohamed Kamilagwa. kutoka kampuni ya  Nestle- Jama alitoconvirce na sasa ofisini Maziwa ya Nido hayatakosekana!

Huyu ni Erick aka Timbaland  aka mwarabu. Yeye ni photographer wetu. Hapa akitowa swagga la kinido

Safi jamani ofisini kwetu pia tuna warembo hawa wanaka back office. Kushoto ni Prax-ceder aka Sister P yeye ni Editor, anayefuata ni Catherin-Aka Kimbau Accountant, Emmy na Ziada. hawa niwataala wanatunza record za wateja na kuakikisha wateja wanapata kazi zao

Huyu ni Camera man wetu na Editor. Anaitwa Lutego aka 4 Angle

Huyu anaitwa Rehema-Aka Kova. Yeye Ni  Administration manager-Pia ni Mtaalamu wetu wa mambo ya Urembo

Kushoto ni Godfrey yeye ni Photographer, anaye fuata Anord aka Castle Light. Yeye Ni Tech Assistant. na  aliye kulia anaitwa Noel Njau -Tech Manager aka Chiporita

Dah kushoto ni Lusubilo Aka Baba Wawili-Popo, anaye fuata ni Hamidu. Wote hawa ni Macamera man. Dah sikujuwa Nido inachangamsha namna hii 

Chearsssssss!!!


Huyu anaitwa TMK ni Camera man

Safi Mwarabu akiongoza Steps. Hizi kazicopy kwenye maharusi alafu akazi re-mix

Naona baada yakuwa tunahuzuria kwenye Event nyingi na kwakuwa tunakuwa kikazi zaidi huwa hatuchezi music ila leo naona hasira zote zinamaliziwa hapa

Ndundundu Face Book!

Mhh Baba ni Nido tuuu auu!!

Face Book


Hamidu

Kama kawa huku tukiparty pia hatuwachagi kuongea mambo ya kazi. Nikichat na Baba waili na 4 angle

Vijana wanamaswagga hawa!

Kila Mtu alikuwa DJ. Tuna seti ya music

Mhh Admin Manager akitowa Swagga. Huyu ndio  anawaweka Mjini na kuwafua Masuper model wetu Simon na Sasha.

Ziada akitowa tabasamu baada ya kupata Nido

Emmy akivuta pumzi baada ya kupiga vikombe kama vitatu vya Nido

Dah tulimaliza kopo zima la Nido Looo!


Noel aliamua kulinda mzigo. Dah jamani pia nimeona sio vibaya mkaifahamu timu yetu ya GRM Pro. Ingawa  vijana  wangu  sita wamemiss hapa wako wanapiga event na hadi nakwenda mitamboni walikuwa hawajarudi! Have a nice Day