GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 21, 2011

Nargis Ladies Party. Nawaonjesha yaliyojiri kwenye mobile Studio. Yani ni Maswagga ya kufa mtu! Mwenye macho aambiwi tazama

Bi harusi mtarajiwa Nargis. Safi sana.


Yani ni full Swagga
Nice

Hakika hi nguo imetendewa haki. Nice

Nimekubali 


Nargis akiwa na MC Nargis akiwa na Dorkas mtaalamu wa Bufee!
Swagga la mwenye wivu ajinyonge.
Maswagga nimeyakubaliNamimi nikatowa swagga
Swagga la uwa

Jamani maswagga yanatosha