GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 14, 2011

The wedding of Ernest and Beatrice Na beep kidogo tu

Ernest akiwa na my wife wake Beatrice. Safi sana hakika walipendeza sana

Nice


Beatrice

Ernest Hongera baba


Hakika umelitendea haki gauni


Ernerst akiwa na Best man

Best man safi sana

Matron-S
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Safi sana


The Girls

Kanisa walipo fungia pingu


Ernest akimtandika pingu Beatrice

Beatrice akimtandika pingu Ernest

Ernest akisign mkataba wa kuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe


Ukumbi

Nice hakika wapambaji waliutendea haki ukumbi


First Dance


Bongo FLV naipenda .........


Mwisho wa kunuku!