GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, September 29, 2011

Angel's Night Hakika ulikuwa ni usiku wa kipeke. Onja kigogo jinsi mambo yalivyo jiri


Angel safi sana hakika ulipendeza sana

Nice


Angel akiwa na Matron wake


Safi sanaNimekubali hili Swagga

Angel akiwa na mume wake. Ila hapa walikuwa bado hawajapigana pingu za Maisha


Nice

Best man na MatronNamimi nikatowa swaggaMakirikiri walikuweko

Bi Angel akiingia ukumbini

KekiChiers!!!!!

FM walikuweko si mchezo. Yani ilikuwa ni Kikosi kamili. Nakumbuka tulimaliza kazi Asubuhi

Samaki anavipande vingapi???


Swagga la kumtafuta Mume mtarajiwa

Safi sana kwa kutunzia kijana wetu. Naona tangu afunge pingu shavu linatoka. 

Hatimaye mume mtarajiwa akapatikana


MaakuliBongo FLV naipenda

Wadau


Mwisho wa kunuku