GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 30, 2011

The wedding of Kenneth and Adeline Tujikumbushe kidogo jinsi mambo yalivyo jiri

Safi Kenneth and Adeline






Hakika Bibi harusi kalitendea haki gauni lake







Nice














Safi sana

Hili Gauni si mchezo









Maharusi wakiwa na Best man na Matron














Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Mliman City

Hakika haya ni mambo ya Lotus na stage inayo badilika rangi kila saa kama kinyonga





Namimi ngoja nijifagilie nilitendea haki haya mapambo




















































Dada yangu Maza akiwa kazini. Safi sana uko juuu





Naelekea kanisani mwenye wivu ajinyonge!






Dada Mwamvita Safi sana. Hakika ulipendeza sana

Nice Salimia Ujerumani





Nice







Nimependa bibi harusi hakutaka watu wabebe gauni lake. Akaliachia ljibwage. Safi sana hivi ndivyo unalitendea haki gauni lenye mkia mrefu. 





Jamani huyu Dada anaimba. Nice



Pingu zikiwa zimetulia







GRM tunawatakia maisha marefu yenye upendo, Furaha  na amani.
Wadau bado tuko mapumzikoni nikipata net nitazidi ku-update  hili libeneke letu. Niko porini kabisa na hapa nilikuwa juu ya mti huwezi amini