GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, May 31, 2014

R.I.P George Tyson. Kweli tumepoteza jembe katika mambo ya Video Production Afrika Mashariki!


George Tyson Mungu akulaze mahali pema peponi Amen.George Tyson the Director and Producer akiwa kazini. nakumbuka hapa tulikuwa tunatengeneza kipindi cha wanawake Live 20-01-2011

Tyson akimpa maelekezo Camera man wangu (GRM Production) Lusubilo

Moja ya Kipindi cha TV tulichokuwa tunatengeneza huku kiki ongozwa na George Tyson-Wanawake Live 20-01-2011

George Tyson akiwa anampa maelezo Joyse Wakati tukitengeneza kipindi cha Wanawake Live
Kwa habari zaidi zama hapa kwenye read moreOn set ndani ya GRM Production  studio 2011


George Tyson akitowa maelekezo wakati tunarekodi kipindi

Nakumbuka pia hiki kipindi cha family full Mapesa pia George Tyson alikuwa anakiongoza-The Director


Nakumbuka hi ndiyo episod ya mwisho ya kipindi cha the mboni show nilicho kirekodi(GRM Production) kwa kushirikiana na George Tyson-The Director tarehe 14-04-2011. Pole sana dada Mboni tuko pamoja
George Tyson akimpa maelekezo dada Mboni

On Set-George Tyson


George Tyson akitowa maelekezo. Jamani sio utani tumepoteza jembe


Hili ndio gari alilo patanalo ajali George Tyson. Picha ya gari kwa hisani ya DJ Choka

RIP