GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, January 11, 2011

Kutokana na maombi ya wadau mbali mbali kunitumia email na kusema mbona niliahidi kuleta tena mambo yalivyo kuwa kwenye harusi ya Conrad na Jackie basi ngoja nitimize ahadi. Kweli maharusi walipendeza sana Grm inawatakia maisha mema yenye furaha na raha.

Maharusi wakitowa swagga. Conrad na Jackie

Safi mpora

Nice

Kama ObamaConrad akipokea salamu zapongezi kutoka kwa Obama
Maharusi wakipiga picha na wazazi


Upendo kwa mama

Mama wa Bi harusi akitowa swagga. Safi sana mama

Safi sana

Kichaga tunasema Aika Mbee

Lazima ubebe mali zako. 

NiceMatron safi sana

Swagga la bi harusi na wasimamizi wake

Bwana harusi na the boys

Nimewakubali


Nice

Nae mama shuhuli aka Dada Caro au dada wa bwana harusi nae akitabasamu kwa kupata Mpora.

Maharusi wakipata hewa safi Ufukweni


Kama Kawa GRM Tulifunga Mobile Studio

Nawaonjesha tuu mambo yaliyojiri kwenye mobile studio. Hapa wageni waalikwa walipiga picha na background imeandikwa jina la maharusi yani Conrad and Jackie. Safi sana