GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, January 30, 2011

Hatimaye kambi ya Kisura yaanza rasmi leo katika hoteli ya Kiromo Bagamoyo. Visura wote wamewasili kambini salama huku yule mshiriki kutoka pande za Monduli akisindikizwa na walinzi wawili au morani. Kwa habari kamili cheki mambo yalivyokuwa

Dada Juliana akiongea na waandishi wa habari


Visura  wakiongea na waandishi wa habari

Kipuyonde Laiboni kisura toka pande za Monduli


Mchumba wa Kipuyonde bwana Paulo Laidoni akihojiwa na waandishi wa habari. Bwana Paulo kasema hawezi mwacha mchumba wake akae kambini pekeyake. Dar es salaam kunawajanja watamuibia. Kwahiyo nayeye anataka kukaa kambini.

Kisura wetu Kipuyonde akihojiwa na waandishi wa habari. Hajuwi kiswahili.

Kisura wetu akiwa na kakayake Mshangamal Laiboni.  Yani hawa wote wanatoka kwenye Boma moja. Hawa ni mtu na kakayake. na mchumba wake  Paulo wameshare baba ila mama tofauti. simchezo

Vijana wangu wakiwa makini.

Nilipiga picha na Rafiki yangu toka Full Shangwe.

Visura wakipozi kwa pamoja
Visura toka DodomaVisura toka Jiji la Dar es salaam


Visura toka Arusha

Visura toka Dodoma

Visura toka Arusha


Nikapata picha na Kipuyonde Laiboni Kisura wetu.

Clauds TV nao walikuweko. Hapa wakifanya mahojiano na Mwakilishi toka FHI

Kisura akiwa na walinzi wake

Mchumba wa kisura wetu Mr Paulo Laiboni akiwa makini kabisa


Kisura wetu Kipuyonde Laiboni. Hakika dada ukifanikiwa kushiriki kikamilifu utafika mbali sana.

Juliana akiongea na kaka wa Kipuyonde. Hapa alikuwa anamwambia wanaume hawawezi kuu kaa kambini. Hauwezi kuweka boma huku.

Kisura wetu akiwa na mchumba wake bwana Paulo

Kama kawa namimi nikatowa swagga 

Mdau kutoka Clauds TV


TunawakilishaVisura

Visura