GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, February 21, 2011

Siku Andrew Asalia na Reynada Sikira walipo funga pingu za maisha. Nawa beep kidogo jinsi mambo yalivyojiri.

Andrew na My wife wake Reynada

Safi sana hi stile ni dondosha mwali

Safi sana kweli mmependeza

Yani hili uwa la bibi harusi nimelikubali. Nice kweli mwezi wa pili ni kwa wapendanao na nyie mmethibitisha hilo

Safi sana


Wasimamizi waharusi

Safi sana

Nimekubali hili Swagga

Lazima ubebe mali zako bwanaSafi sana Reynada aka Mrs A.Asalile

Matron

Bestman

Biharusi na Matron Wake

Bwana harusi na Bestman

Bwana Harusi

Safi sana


Bi Harusi na wazazi. Upendo kwa mama

Bwana Harusi Na wazazi upendo kwa baba


Keki ya harusi

Hakika wapambaji wameutendea haki ukumbi. Hapa ni Beach Comber

Safi sana

Kanisa walipofungia pingu. Mbezi Beach Lutheran Church

Maharusi wakiwa Kanisani


Maharusi wakitandikana Pingu za Maisha


Namuona Andrew akisine mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe huku Reynada akimpetipeti.

Naye Reynada akasine  kama kawa Andrew akiwa makini kufuatilia tukio zima.

Best man naye alisine

Na Matron pia akasine

Wakitoka kwa furaha baada ya kusine Mkataba

Wakikabiziwa mikataba ya kuishi pamoja

Msafara wa maharusi

Nimependa hii hapa ukiingia ukumbini zawadi unawacha nje.

Wageni waalikwa. Namuona Dr A. Makupa  aliye kulia. 

Wageni wakifuatilia kwa makini

Safi

Namuona Mc wa shuhuli akiwa kazini


Zawadi mbali mbali zilitolewa

Kamati ya harusi. Safi sana