GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, February 24, 2011

Visura walivyotesa ndani ya Fabak Fashions Lady in Red 2011. Hakika wamepikwa na Kuiva. Leo sita comment chochote pateni burudani jinsi Visura walivyolitendea haki jukwaa!


Kisura akiwa na mbunifu wa nguo aliyovaa.

Ally Ramtula naye akiwakilisha ubunifu wake.Safi sana 

The Fashion Guru au Mustafa akiwakilisha ubunifu wake. Safi sana

Dada Hadija naye kama Kawa akiwakilisha Ubunifu wake

Safi dada nawewe umewakilisha ubunifu wako

Nimekubali mkuu namimi nataka hili vazi.


Safi sana nawewe umewakilisha vizuri sana. Kweli Kisura wetu kapendeza. (huyu dada nimshindi wakisura mwaka jana)


Safi sna


Wote mmependezaSafi sana


Pia kulikuwa na Burudani. Hapa Lady Madaha AkikamuaNamuona Mpigapicha kutoka IView nae akipata Certificate.


Hapa Uncle naye Akipata Certificate

Namuona mama kisura au Dada J.Urio akipata Certifikate toka kwa waandaaji washuhuli hii.

Waandaaji washuhuli. Safi sana