GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, February 7, 2011

The Making of Shoga Movie. Nawaonjesha Kidogo tuu. Kweli naisubiria kwa hamu hii Movie

Posta ya Movie

Muigizaji mkuu wa movie ya shoga Tinno

Vipande vichache vya hii movie vilipigiwa ndani ya GRM Studio

Naisubiri kwa hamu sana hii movie. Nibonge la story na imetendewa haki


On Set

On Set

Namuona Kupa kwa mbali aliye kaa chini kulia

Safi

Vijana wakiwa kazini

Safi sana kaka Tinno