GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, April 11, 2011

Kikazi Ndani ya A-Town

MountMeru Hotel iliyo karabatiwa. Si Mchezo

Haya mazingira yanapunguza Stress

Nimekuja A-Town sioni wadau. Sijui wako kwenye kikombe!

Bonde la ufa

Lake Manyara

Lake Manyara. Kweli Tanzania inavivutio vya utali

Bonde la Ufa


Dah simchezo. kweli hi manzari inavutia