GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 1, 2011

GRM Production ndani ya Harusi Trade Fair.

Banda letu ndani ya Harusi Trade Fair. Karibu

Biharusi mtarajiwa akiangalia kazi zetu.

Banda  letu

Wataalamu wa kuprint Kadi za harusi


Wapambaji. Hawa jama wanatisha. Njoo kwenye banda lao ujione mwenyewe.


Mambo ya keki. Hakika maonyesho yakiisha lazima niondoke na keki

Mambo ya Malaika Event Rentals

Mume mtarajiwa akiangalia viti. 

Ukitaka kukodi viti hivi piga hii number +255 787 298 554