GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 15, 2011

Hatimaye Super Model wetu Simon awa Kidume! Pole sana na Hongera!

Super model Simon akiwa katulia kwenye kochi. Hi Kanzu haimaanishi kuwa ni Ustazi bali mambo ya Jando. Hatakuwa kwenye shuhuli zake za umodo kwa wiki moja

Simon akitowa swagga kwa wadau

Akikamata msosi. Mamodel na chips mayai!

Super model Sasha akikandamiza msosi. Dah Ushauri wa bure Sasha  angalia usije nenepa na kushindwa kufanya shuhuli zako za umodel.

Simon akizidi towa swagga.  Get well Soon! Nimeshakuchinjia mbuzi mmoja na bado BiBiyako kasema weekend hii anakuchinyia. Na Nyanya yako pia katowa ahadi ya mbuzi. Kazi kwako

Sasha naye akitowa Swagga!