GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, April 22, 2011

Salamu zapongezi zazidi kumiminika na safari hii ni Lily aka mama Morine akimtakia maisha yenye furaha Rehema kwa kutimiza miaka kadhaa!

Lily akitowa salamu pamoja na zawadi ya keki

Keki dah ilikuwa tamu sana