GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, May 31, 2014

R.I.P George Tyson. Kweli tumepoteza jembe katika mambo ya Video Production Afrika Mashariki!


George Tyson Mungu akulaze mahali pema peponi Amen.George Tyson the Director and Producer akiwa kazini. nakumbuka hapa tulikuwa tunatengeneza kipindi cha wanawake Live 20-01-2011

Tyson akimpa maelekezo Camera man wangu (GRM Production) Lusubilo

Moja ya Kipindi cha TV tulichokuwa tunatengeneza huku kiki ongozwa na George Tyson-Wanawake Live 20-01-2011

George Tyson akiwa anampa maelezo Joyse Wakati tukitengeneza kipindi cha Wanawake Live
Kwa habari zaidi zama hapa kwenye read more

Friday, May 30, 2014

Contractors Registration Board- Annual Consultative Meeting and Exhibition 2014. Day 1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal ndie alikuwa mgeni rasmi.

Safi

Makamu huwa anapendezaga sana kwenye picha

Nilipenda hotuba yake. Nitawaletea next week.Kwa picha zaidi zama hapa kwenye Read more

Tuesday, May 27, 2014

UEFA Champions League. Cheki jinsi wadau wa Heineken walivyo angalia UEFA final kwa hisani ya Heineken Tanzania

    
Venue:           Goldern Tulip Hotel
Sponsor:        Heineken Tanzania
Photograph:   GRM Production
Drink:             Heineken BeerUkumbi wa Goldern Tulip

Heineken DJ akifanya mambo yake. Namkubali sana.

Ilikuwa kila unapoingia kuangalia match kabla haujaka unatandikwa Heineken moja ya baridiiiiiii. Basi nikaona ngoja ni 'iphotoe' kabla sijaishuhulikia


Mc wa shuhuli E-Kibonde. Safi sana
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Friday, May 16, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA HUDUMA MPYA YA M-PAWA.

Kampuni kinara ya mtandao wa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi nchini Vodacom na Benki ya Biashara Afrika - CBA juzi walizindua huduma mpya yenye kuleta mapinduzi makubwa ya M-pawa itakayowawezesha mamilioni ya watanzania kuhifadhi fedha na kukopa kupitia simu zao za mkononi.

M-Pawa, is a novelty in Tanzania’s mobile financial services sector that brings together the best of CBA’s 50 year banking experience in East Africa and M-PESA’s vast successful distribution system which boasts over 65,000 agents across the country. The service will further enhance Tanzania’s financial inclusion agenda by making it possible for people to save as little as Tsh 1/- , and borrow money depending on their savings history, said Vodacom Tanzania’s Managing Director Rene Meza at the launch event.

M-Pawa is easy to use. Customers do not need to fill in application forms. They can open a bank account by simply accessing the M-Pesa menu on their phone and selecting M-Pawa! Furthermore, it does not have ledger fees, limits on the frequency of withdrawals, minimum operating balances and charges on deposits and withdrawals from  M-PESA to M-Pawa Account and vice versa, ” said Meza.
In addition to the over 5 million customers who currently use M-Pesa, Vodacom and CBA are targeting to reach the millions more who are currently outside the formal banking system in Tanzania. We are optimitistic that this service will grow in Tanzania because various studies have shown us that most people want to save and grow their money but are unable to do so because they are unable to meet most of the requirements of the formal banking sector. M-Pawa is our response to this need,” says Meza. 

His Excellency President Jakaya Mrisho Kikwete launched the service in Dar es Salaam and had this to say, “the historic launch of M-Pawa today is to a large extent a testament to the success of the reforms that we have made in the financial sector, coupled with heavy investment made in the mobile communication industry, which have allowed our people to access affordable financial services through their mobile phone.”

Customers can sign up for M-Pawa through accessing the M-Pesa menu on their phone, selecting M-Pawa and then opting for the service that is best suited to their particular requirement at that time .  That is, to save money, withdraw or take out a loan.With regards to the accessing of loans, Vodacom customers need to be have used M-PESA for at least 6 months and have some saving history on M-Pawa says Meza.Customers can sign up for M-Pawa through accessing the M-Pesa menu on their phone, selecting M-Pawa and then opting for the service that is best suited to their particular requirement at that time .  That is, to save money, withdraw or take out a loan.With regards to the accessing of loans, Vodacom customers need to be have used M-PESA for at least 6 months and have some saving history on M-Pawa says Meza.


Kwa Hapari zaidi zama hapa kwenye read more

Wednesday, May 7, 2014

Dorka Catering. Dah namkubali sana huyu Dada kwa mambo ya msosi kwenye sherehe au shuhuli mbalimbali!

Mama wa Bufee. Kweli Dorothy Kansolele  aka Dorka  namkubali sana kwenye mambo ya msosi. Kuanzia jinsi anavyo set meza mpaka chakula chenyewe.

Safi sana dada. Ukitaka kuwasiliana na Dorka basi mtwangie simu
0718 661 705

Kweli nimependa jinsi Dada Dorka anavyo set meza. Kwa mfano kila mgeni mualikwa mmoja anakuwa na vitu vifuatavyo mezani  Glass moja ya wine, glass ya kunywea maji au bia, uma na kisu na kijiko cha chakula kwa wale ambao hawajui kutumia Uma na kisu. Mtu anakuwa na full option.  Sasa wakati mwingine unakwenda kwenye shuhuli mezani haukuti hata glass.  Glass unapewa kama tu utakunywa wine au vivywaji vikali au Juice. Bia, maji  au soda unapiga tarumbeta , hi ni soooo!!. Watu wengi huwa wanasahau mambo ya glass wanazani ukiwa na vinyaji basi umemaliza lazima tufikirie  watu watakunywaje hivyo vinywaji.

Hivi ukiingia kwenye shuhuli ukiona meza imeka kama kwenye hi picha si unajuwa tu hapa vinyaji na chakula vipo vya kumwaga? hebu fikiria kama kungekuwa na hilo uwa tu mezani!


Dah namtamanije huyu samaki. Baada ya kuona hi picha tu nazani leo lazima lunch iwe samaki. 

Sio mbaya na mimi nikijikubali kidogo hapa . Maana hi ni bonge ya buffe hope nimeitendea haki!Mwisho wakunuku. Dorka keep it up Dada. Safi sana