GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, May 30, 2013

R.I.P Lambart. Dah Kwa mshtuko mkubwa nimepokea taharifa ya kifo cha rafiki na mdau mkubwa wa GRM Production bwana Lambart.

Lambart enzi za uhai wake. Nakumbuka mwaka huu tu tulifanya harusi yake 12-01-2013 . Sisi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.

Dah sina chakusema zaidi ya kuiombea familia yake .

Habari nilizozipata ni kwamba Lambart alifariki jumamosi kwa ajali ya gari

Pole sana Bridgite kwa kumpoteza MumeLambart na Bridgite siku ya harusi yao 12-01-2013
 Kwa habari zaidi zama hapa
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu. Amen