GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 30, 2015

Sophia's Night Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Sophia alipendeza sana. 

Nice


Hakika Sophia alilitendea haki gauni lakeKama Kawa Glam Madam alimtendea haki Sophia
Nice

Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read More

Friday, November 27, 2015

The Wedding of Emmanuel and Salome. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Emmanuel na Salome walitokelezea. Safi sana

The Moment

Swagga la Beba Mwali

Nice

Hakika Salome alilitendea haki gauni lake

Maharusi wakiwa na Wasimamizi wao Bestman & Matron
The Team

The GirlsNice


Swagga la Ale Photoooooo..... Cha... E... Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read more

Thursday, November 26, 2015

Pia unaweza kutu Follow kwenye Instagram. 'grmproduction'


Bonyeza hii linki kutu Follow      http://Instagram.com/grmproductionThanks. Nakutakia Siku njema
by Gabriel Makupa

Rebecca's Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Rebecca alitokelezea. Safi sana
Nice


Hakika Rebecca alilitendea haki gauni lakeRebecca akiwa na Mchumba wake ingawa kwa sasa ni Mr and Mrs. Safi sana. Hongera sana John. B & Rebecca

Safi
Kwa Maswagga zaidi zama hapa Kwenye Read More