GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 28, 2012

Kiwanja kipya cha kuenjoy na familia Ndani ya jiji La Moshi. Zumba Land . Aksante sana O Mawalaa kwa kuweka burudani zakutosha katika jiji letu la Moshi. Hakika walio kuja kuhesabiwa watakuwa wamefurahi sana.( Makumba, Laliga na Zumba Land)

Zumba Land


Safi sana


Bado matengenezo yanaendelea

Treni ikoSafi sana

Mpaka Meli iko

Manzari nzuri


Mpaka Ndege iko

Rubani Sasha aka Super model wetu akitowa swagga baada ya kurusha ndege ndani ya Zumba Land

Dah Kwakweli Naomba Niupongeze uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa Usafi. Dah Kweli Moshi mjini inastaili sasa kuwa JIJI.

Manzari nzuri ya Moshi Town. Safi sana

Dah Yani mji ni msafi. Kiatu kikiwa na matope unakamatwa na unaambiwa ufute hayo matope unatuchafulia mji wetu!

Aika Mbee nimekubaliDah Safi sana

Kwakweli hauwezi kusifia usafi wa mkoa wa kilimanjaro bila kusifia pia utamu wa nyama choma za huko. Hapo ni Super model wetu Simon  akikaribishwa Kwa ndafu. 

Jinsi wadau walivyo vamia kwenye Magerage mbali mbali kabla ya sikuku ya X-Mass kwa ajili ya maandalizi ya safari. Hapa ni kwa Nikas Auto Gerage

Magari yakifanyiwa Service tayari kwa safari za X-mass.Hi Gerage iko kinondoni. Namkubali sana Nikas aka Mavogue . Kweli hi gerage inatumia technology ya hali ya juu. Na niwataalamu wa yale magari ya UK and USA. Ambayo bila computer hakieleweki. Safi sana
Kijana wa Nikas -Seba malandrover akiwa kazini

Wednesday, December 19, 2012

Dr Catherine Makunja's Night. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Catherine Safi sana hakika alipendeza sana

Nice

Hakika hi shuhuli ilipendeza sana. Hakika Catherine alilitendea haki gauni lake 


Catherine akiwa na Matron wake. Dah jamani kila mtu alipendeza kwenye hi shuhuli. Mwenye macho hambiwi tazama


Nice


Safi sana Mr and Mrs.

Nice naona bado tunakumbuka maswagga ya harusi.

Namimi nikatowa swagga
Upendo kwa babu'sDada Doris safi sana

Nice
Cathie akiwa na mume wake mtarajiwa ambaye kwa sasa ni Mume wake. Safi sanaHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond Vip


Dah nimependa jinsi biharusi mtarajiwa alivyokuwa anauona ukumbi. Safi sanaDah nimekubali hi keki.Dah hapa nimejikubali mi mwenyeweNice


Ukumbi kwa Nje
Biharusi mtarajiwa akiingia ukumbini
Mheshimiwa akitowa utambulisho.


Mke wa Mheshimiwa Makamu wa Rais alikuweko

Mama Tunu Pinda Alikuweko-Mke wa Waziri Mkuu

Safi

Mc Wa shuhuliJamani Mwisho wakunuku.