GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, February 28, 2011

Hatimaye Costantine Magavilla Afunga pingu za maisha na Dr Faraja Mdegella. Kwakweli Harusi ilifana sana na watu wote walipendeza. Yani jione mwenyewe.

Mr and Mrs Constantine Magavilla

Kweli mmependeza


Nawatakia maisha mema yenye furaha na upendo daima.


Safi sana


Mrs C Magavilla


Dr  Faraja Unatisha. Safi sana


Kama Obama


Hili Swagga nimelikubali


Mr Costantine Magavilla

Safi sana Dr Rose.
Best Man

Bwana Harusi akipondezwa na Dada na Kaka.Kaka unatisha na maswagga yako

Dada J nawewe unatisha. Safi sana

NiceDada Rehema nayeye alikuweko. Safi sana

Maharusi wakiingia kanisani

Kwaya ikitowa burudani kanisani.

Sikujuwa kama Jokate unajuwa kuimba namma hii. Nakupa tano

Dada J Akiimba kwa hisia kali kabisa

 Katika picha nilizopiga hii iko kwenye kumi bora. Safi sana hii inaonyesha jinsigani mmnavyo pendana. Mwenye wivu ajinyonge.

Dada J akishusha neno

Costantine akimtandika pingu Dr Faraja Aka Wife


Dr Faraja nae akimtandika pingu Costantine

Duh dogo naye yuko fiti kwenye mambo ya Imani. Safi sana

Naona Bwana harusi akimwambia bibi harusi  nanukuu maneno yake ' Nisije nikasikie eti imepotea hapo hatutaelewana. Siunaona ilivyo nzuri na ilivyokupendeza! 


Best man na Matron wakifuatilia ibada kwa makini

Baba wa Bi Harusi ambaye ni Askofu wa Jimbo la Iringa pia ni Mwanzilishi wa Tumaini University Iringa. Akimpongeza mwanae.

Bwana Harusi akipata pongezi toka kwa Baba Yake

Namuona Ester na Victor wakifuatilia Misa kwa umakini kabisa.Kama kawaida askofu aliimba wimbo kwa ajili ya maharusi huku akisindikizwa na kwaya.

Bwana harusi akisine mkataba wa kuishi pamoja huku Dr Faraja akiwa makini kabisa

Dr Faraja naye akasine mkataba
Hata Kanisani kulikuwa na burudani ya ngoma.Msafara wa Harusi safi sana

Nice

Namimi nikatowa swagga

Nikitowa swagga na Dr Rose

Maharusi wakiingia ukumbini


 

Faraja akipongezwa na marafiki zake. Hapa namuona Rehema na lilian


Naye alikuweko. Safi sana. 

Hata MD naye alikuweko.  Safi sana
Keki ya harusi

Mr Walingo naye alikuweko

Safi sana. inapendeza nawewe ukiwakilisha.


Maharusi wakikata Keki

Pia tarehe 26 ilikuwa ni siku yakuzaliwa ya Bwana Harusi. 

Kulikuwa na burudani mbalimbali. Ruth na Ester

Tobias naye alikuweko


Bwana harusi akilisakata rumba na Papa G Kavishe.

K.Twisa  naye alikuweko

Simchezo

Safi sanaSimchezo

Taratibu bwana harusi. Alagi Alagi! inaweza leta kesi siku yakwanza!Swagga.

Rehema, Gabriel na wife wake

Kamati ya Harusi