GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, December 8, 2015

The Wedding of Sillah and Ancilla. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri


Hakika Sillah na Ancilla walitokelezeaNice
The MomentSwagga la Mama mwenye nyumba
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman na Matron
The Girls

 Kwa maswagga zaidi mama haha kwenye read more

Friday, December 4, 2015

Nemaya's Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Hakika Nemaya alitokelezea. Safi sana kwa Kudumisha mila


Swagga la Kimasai
Hakika Nemaya alilitendea haki  gauni lake.Nemaya akiwa na Matron wake

Neimaya akiwa na Mume wake mtarajiwa -'Morani' ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs
Safi sana yani wameanza kufanana mapema lol. @@

Thursday, December 3, 2015

The Wedding of Faraja & Gwantwa. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Faraja & Gwantwa walitokelezea. Safi sana


NiceSwagga la Kuchikuchi ....
Aksante Mungu kwa kunipa ...
Hakika Biharusi alilitendea haki gauni lake. Safi sana


Swagga la Baba Mwenye Nyumba


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman & Matron
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye read more

Wednesday, December 2, 2015

Felistar Night. Onja Kidogo jinsi mambo yalivyojiri!Hakika Felistar alitokelezea


Nice

Kama kawa Maznat alimtendea haki Felistar

Hakika Felistar alilitendea haki gauni lake
Felistar akiwa na Matron wakeKwa Maswagga zaidi zama haha Kwenye Read More