| Hakika Nemaya alitokelezea. Safi sana kwa Kudumisha mila |
| Swagga la Kimasai |
| Hakika Nemaya alilitendea haki gauni lake. |
| Nemaya akiwa na Matron wake |
| Neimaya akiwa na Mume wake mtarajiwa -'Morani' ingawa kwa sasa ni Mr & Mrs |
| Safi sana yani wameanza kufanana mapema lol. @@ |
| Kama kawa Maznat Bridal care walimtendea haki Nemaya |
| Swagga baada ya Kutokelezea |
| Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi |
Kwa Maswagga zaidi zama hapa kwenye Read more
| Nemayas akiingia ukumbini |
| Safi. |
| Nimeikubali hii keki |
| Ale Photo..... chaa. ekotike....... |
| Mc wa shuhuli safi sana Dr Cheni. |
| Mrisho wa kunuku. Wadau wa grm production nawatakia Weekend njema. |
No comments:
Post a Comment