GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 2, 2012

The Wedding of Allan and Bulla. Na beep kidogo tu jinsi mambo yalivyojiri

Allan and Bulla. Hakika mlipendeza sana

Nice


In LoveHakika Bulla umelitenea haki hili gauni lako. Safi sana


The MomentBulla akiwa na Matron wake. Safi sana


Pingu

Allan akisign mkataba wakuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganisheHakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Diamond-Kubwa


Dah nimeikubali hi keki

Best Man na Matron wakiingia ukumbini

Maharusi wakiingia

Kama kawaida mila lazima idumishwe. Hi mbege ilitoka moshi.Mchungaji Njau akimwaga Baraka. Safi sana

Bulla aka mke wa Allan akila kwa swagga


First DanceNdafu

BBM


Jamani mwisho wa kunukuu.