GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, July 29, 2011

The wedding of Jeremy and Suzan. Na beep kidogo tuJeremy na Suzan Safi sana na Jeremy Karibu Tanzania

Nice
Maharusi wakiwa na wasimamizi waoNiceKeki

Maharusi wakidumisha mila

Jeremy akidumisha mila. Marekani hakuna hivi vitu

Baada ya kupata kitochi basi bwanaharusi alifurahi sana


Pingu


Tunawatakia maisha mema yenye upendo na amani

Wednesday, July 27, 2011

Siku Eric Baraka Chijoriga na Nanyorri Ngalesoni walipo joined together as one in Holy Matrimony. Na beep kidogo tu! chakula bado kiko jikoni

Eric na my wife wake Nanyorri.  Safi sana hakika mlipendeza Sana 

Nice

Safi sana Nanyorri. Hakika gauni umelitendea hakiMume wa Nanyorri-Imelda 

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Nimekubali hili swagga kutoka kwa Matron

Bestman na Matron. Hawa hawako kikazi ni Mr & Mrs


Upendo kwa wazazi

Upendo kwa mama. Baraka akiwa na Mama yake Dr Chijoriga. Safi sana

Dah hakika wapambaji waliutendea haki ukumbi wa Mlimani CityKwakweli hu ubunifu nimeukubali. Kweli nawapa 100% 

KekiSt. Joseph Cathedral. Hapa ndipo maharusi walipofungia pingu za maisha

Nimekubali hi Picha

Mwisho wa kunuku!