GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, July 24, 2011

Siku Abdurabi and Neema walipofunga pigu za maisha. Tuonje kidogo tuu jinsi mambo yalivyo jiri

Abdurabi na my wife wake Neema. Safi sana

Nice


Neema mke wa Abdurabi.

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao.


Neema akiwa na Matron
Abdurabi akiwa na Bestman


Mume wa Neema Mr Abdurabi. Hongera mkuu!


Maharusi wakiwa na wazazi


Maharusi wakiwa na Mheshimiwa BWM na Mama yetu A. Safi sana na Aksante kwa kuzindua studio yetu Mheshimiwa. Nimekubali


Nimekubali hili swaggaHakika wapambaji waliutendea haki ukumbi wa KarimjeeKama kawa tulifunga Mobile Studio


Mwisho wa kuonja. Chakula bado kiko jikoni