GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, August 2, 2013

The Wedding of Gilliard and Segolina. Onja kidogo. Chakula bado kiko jikoni.

Gilliard akiwa na mke wake Segolina. Safi sana hakika walipendeza sana

I love this. Wow. Upepo ulisaidia kunogesha hi picha

Hakuna atakayebisha kuwa segolina alilitendea haki hili gauni lake la harusi. Safi sana

Swagga la baba mwenyenyumbaNice


Swagga la pamoja Milele

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and MatronSafiii kifamilia zaidi


The teamThe girls


Ruka juuuuu. huwa Napendaga sana hili swagga.


Safi sanaKwa Maswagga zaidi zama hapo kwenye Read More


Safi! kweli baada ya mikiki mikiki ya kanisani na picha si mbaya ukipozaa koooo.


Tukitafuta  maswagga Jamani Mwisho wakunuku. Kwaniaba ya GRM Production nawatakia Gilliard and Segolina maisha mema yenye furaha, amani na upendo.